Breaking

Tuesday, March 17, 2020

BREAKING NEWS: Shule Zafungwa Siku 30 Nchini Kisa Corona
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Machi 17, 2020, ametangaza kufungwa kwa shule zote kuanzia za awali mpaka kidato cha sita kwa siku 30 kuanzia leo kufuatia tishio la ugonjwa unaotokana na virusi vya Corona.

“Wizara itafanya marekebisho ya ratiba ya wanafunzi kidato cha sita, ambao wanatarajiwa kufanya mitihani tarehe 4 mwezi wa tano kwani watakuwa na muda mfupi.  Kwa hiyo tarehe zitasogezwa mbele ili wapate nafasi ya kusoma, ” amesema Mjaliwa akiongea na wanahabari jijini Dodoma.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment