Breaking

Wednesday, March 18, 2020

BREAKING News: Wagonjwa wa Corona Waongezeka, Dar es Salaam na Zanzibar


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania mmoja amekutwa Zanzibar.

“Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na corona pia” - Waziri Mkuu Majaliwa


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment