Chama cha Demokrasia na Maendeleoa (Chadema), kimesema wao sio wabaguzi makosa aliyoyafanya Vicent Mashinji alikuwa Chadema ndio maana waliamua kumlipia katika faini ambayo wametakiwa kulipa Sh milioni 350.
“Sisi si wabaguzi makosa aliyoyafanya Vicent Mashinji alikuwa Chadema ndio maana tuliamua tumlipie ilikuwa ni sh milioni 350 ila CCM wamejitokeza kumlipia hivyo kiwango kimepungua na kikizidi kuna jambo tunaweza kufanya,” amesema Mrema.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment