Baraza la Wazee CHADEMA wamesema hawafikilii Benard Membe atajiunga na chama hicho ila wengependa zaidi kuona anahamia vyama vingine vya upinzani kwani atawasaidia kuzigawa kura za Chama cha Mapinduzi CCM.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment