Breaking

Monday, March 30, 2020

Chiddi Mapenzi Amlilia MKEWE wa Zamani Shamsa Ford " Nakukumbuka Shamsa Nashindwa Kujizuia"

Chiddi Mapenzi Amlilia MKEWE wa Zamani Shamsa Ford kwa Kuandika haya Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

"Sitokuwa wa kwanza kulia kwenye mapenzi. Nakukumbuka shamsa nashindwa kujizuia.vyote ulivyokuwa unanikataza kwa faida yangu mwenyewe ndo sasa hivi naviona.Popote ulipo naomba ujue nakukumbuka sana mama 😭.Sina mtu wa kunipa moyo ,sina rafiki kama ww,ww ndo msiri wangu. Nakukumbuka mama 😭.Familia ni kila kitu dah🙌😭" Chidd Mapenzi


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment