Breaking

Saturday, March 21, 2020

Dalili za Mwanamke Anapokaribia Kufika Killeleni Zifahamu Hapa


1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika
killeleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa
wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya
kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha
zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa
sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti.
Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi
raha zinapozidi,
2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua
mwanamke anapotaka kufika killeleni ni hii wanawake wengi
hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo
kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta
hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka
wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona
mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung’ata meno
ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila
kutarajia.
– Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani
kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili
kwako itakuwa kama suprise ni vitu vya kawaida katika mapenzi
na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya
kus-ex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri
kabla ya tendo kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba
bila kuwa na msingi na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa
kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment