Breaking

Tuesday, March 24, 2020

Diamond Platnumz Awa Msanii wa Kwanza Afrika Kufikisha Views Milioni 900 YouTube


Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views 900m You tube.

Nafikiri kuna haja ya watanzania wote kuheshimu mchango wa ndugu yetu huyu bila kujali team za mitandaoni. Nasikitika sana kuona wasanii chipukizi wakilewa sifa wanapo linganishwa na Diamond bila ya kutafakari mafanikio aliyoyafikia Chibu katika muziki. Hivi indicators zote hizi hawazioni na kutambua kuwa katika nchi yetu huyu yupo level ya pekee?


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment