Breaking

Monday, March 30, 2020

Donald Trump Awataka Mwana Mfalme Harry na MKEWE Kujilipia Gharama ya UlinziRais wa Marekan Donald Trump amewataka mwanamfalme Harry na mkewe kama wanataka kwenda marekani bali gharama ya ulinzi itakuwa juu yao na si Marekani.

“Mimi ni rafiki wa Malkia, nampenda na naipenda Uingereza, iliripotiwa kuwa Mwanamfalme Harry na Mkewe Meghan ambao waliondoka kwenye Jumba la Kifalme wataishi Canada, sasa hivi wameondoka Canada eti wanakuja Marekani, waje lakini wajue Marekani haitolipa gharama za ulinzi, watajilipia wenyewe”- Rais Donald Trump wa Marekani


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment