Breaking

Thursday, March 19, 2020

Ebitoke "Mimi ni Mzuri Sana Msinifananishe na WEMA Sepetu Wenu"


"Msinifananishe na Wema Sepetu mimi ni mzuri kuliko Wema" - Amesema Ebitoke mrembo anayepewa nafasi kubwa kutwaa taji Miss Tanzania 2020

Mrembo Ebitoke ambaye pia ni mchekeshaji amechukua form ya kujiunga na mashindano ya Miss Tanzania Mwaka Huu, Pia amekaririwa akisema anampango wa kuingia katika siasa kwa kugombania Ubunge Mwaka huu wa Uchaguzi.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment