Breaking

Monday, March 30, 2020

Familia ya Diamond Yatengeneza Mazingira Arudiane na Wema, Picha Yamtikisa Dada mtu


Familia ya Diamond yadata kwa Wema… | Majlis per le notizie realtà ...Dada yake na msanii nyota wa Muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Queendarleen amempigia chapuo wifi yake wa zamani ili arudiane na mdogo wake.

Masaa kadhaa yaliyopita Wema aliposti picha yake akiwa amesimama na wembamba wake wa sasa huku akiwatakia watu usiku mwama na mapya aliibuka pale Queendarleen ambaye ni dada yake na Diamond alipodondosha komenti.

Diamond Platnumz and Wema Sepetu - Mpasho NewsKatika posti hiyo dada mondi alimsifia wema na kumkumbusha kuwa mdogo wake sasa hana mahusiano na mtu yeyote “Weeeeeeuweweee bana mtoto umcmama kama moja iv unajua kaka yuko bachela na unavyo damshi hivyo mimi simo”.

Baada ya komenti hiyo wafuasi Zaidi ya 100 walikomenti katika komenti hiyo wengine waliunga mkono wema kurudiana na diamond na wengine walimtusi Queendarleen.

Msanii wa kimatifa Mahombi alikuja kukoleza moto huo baada ya kukomenti katika komenti hiyo kwa kumuita wema bibi yake ”Mama yake na mama” na kumalizia na emoji ya moto ambapo naye alipata komenti kibao.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment