Kwa nini Harmonize aondoke, Kakua..?, anaweza kujitegemea..?, Ila ni kwamba Harmonize ni Akaunti iliyokuwa inajitosheleza ili iingize kipato sasa kivipi akae na Diamond hapo hapo, Mikakati inaanza ili atoke akajitegemee faida irudi na Media zingine zianze kumsapoti pesa iingie Wasafi huku asilimia kubwa akichukua yeye
Diamond majuzi kasapoti kwa kuposti kava ya Album ya Harmonize kuaminisha mtoto hata akijisaidia huwezi kata mkono, ila kibiashara streaming na dowloads zitaongezeka pesa itakuja nyumbani why nisiposti wakati nina wafuasi wengi,
Media zingine hazichezi nyimbo zangu Diamond ila Dogo atachezwa atapata coverage na Endorsement zinajileta pesa itaingia na Air Wave majina yatakuwa ni Diamond and Harmonize na Hakuna mwingine wakuturinganisha na sisi
Tuone hili,
Diamond- A boy from tandale imetoka tarehe 14/03/2018
Harmonize- Afro East imetoka tarehe 14/03/2020
Diamond A boy from Tandale ina nyimbo 18
Harmonize- Afro East ina nyimbo 18 .
Bado hamuamini Harmonize yupo chini ya Diamond?
Mapovu ruksa, Huu ni mtazamo tu masela msijenge chuki
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment