Breaking

Thursday, March 19, 2020

Hizi Ndio Aina za Wanaume Walioko Katika Ndoa

Habari zenyuuuuuuu kwa ujumla niliwamisije???

Leo nimekuja na hii mada hapa nimeinyaka mahali fulani (Aina ya Wanaume)

1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele

3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu

4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo

5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje

6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo

7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu

10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo

Kwa wanawake wa kwako yuko namba ngapi?


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment