Breaking

Saturday, March 28, 2020

Inasikitisha..Mapadri 67 Wameripotiwa Kufariki Kwa CORONA Nchini Itali....

Watumishi wa Mungu kanisa katoliki(priests) 67 wameripotiwa kufariki Kwa virus vya corona nchini Italy.

Kwa upande mwingine, mmoja wa watumishi wa Mungu katika makazi ya papa Francis pia ameripotiwa kupatwa na corona

Pia madaktari 9 wamefariki kwa corona nchini Ufilipino baada ya kuambukizwa na wagonjwa ambapo pia watumishi wa afya nchini humo wamelalamikia uhaba wa vifaa vya kujikinga Kwa wataalam dhidi ya janga hilo.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment