Breaking

Wednesday, March 18, 2020

Jack Wolper Aweka Wazi Maumivu yake Kwa Harmonize "Tumegombanishwa Sana Naumia Mwenyewe Hakuna wa Kunisaidia"


Anaandika @wolperstylish "Nachukua Nafasi yakukuwish Mema kwenye launch yako ya leo New album .

Nakumbuka ilikua Ni Dream yako na atimaye umekamilisha,Tumetoka Mbali Tumepitia Mengi Tumegombanishwa sana yote Ni sababu ya kiburi changu But all in all ukweli aujifichi kwakua siwezi acha kufurahia unachofanya naunavyopambana..

Hakuna mahusiano kati ya me na wewe lakin imani yangu inanituma kwakua nakujua Na me najijua Najua kla mmojaanaumia kwa nafasi yake kutokuongea Na mwenzie .

Nathubutu kusema maumivu yapo na ayajifichi ata Nizuge vipi ukweli unaujua wewe Rajabu Na Mimi Khadija 😭

Huku insta watanitukaana kwa haya niliyoandika kama wolper na kama harmonies ila nikirudi gizani Me kama khadija naumia mwenyewe na akuna wakunisaidia 😭🙏

Katika huu ujumbe sina maana yoyote mbaya ya kuaribu mahusiano yako wala yangu ila nimekua huru kuongea hili nililotaka kuongea live mbele yako ila Tuu kutokana na Sababu za usafri leo nikakwama ..." Jack Wolper

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment