Breaking

Saturday, March 28, 2020

KAMA UNAMPENDA KWELI BASI UTAMTUMIA SMS HIZI TAMU ZA MAPENZI


Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penzi letu linavyozidi kukua, na tunavyopambana na mapito.
*******
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu.
*******
Mwanzo tumeuanza na mwisho hautofika na kama ukifika wewe ukifa na mimi nikizikwa.
******
Ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa usiozibika. Rudi mpenzi wangu.

Uko kama ugonjwa wa pumu, umechukua pumzi yangu na kuepeleka mbali.
Umekuwa kama mba siwezi kukutoa  kichwani mwangu, kama gari langu unaniendesha na kunifanya nichanganyikiwe. Umekuwa kama meno siwezi kucheka bila ya kuwa na wewe.Nakupenda sana mpenzi.
*******
Watu 10 wanaokujali mmoja ni mimi, mtu mmoja anayekujali anaweza kuwa mimi tena, kama hakuna hata mmoja anayekujali, basi inamaana mimi sipo duniani. Ongeza mapenzi ili tusipate vishawishi…
*********
Sweet, natamani tutengenezewe nchini yetu na tuishi wawili, wenye wivu wasipate nafasi ya kuharibu penzi letu, huku tupeane mapenzi pasipo kubaniana, tulishane vizuri vilivyo ndani ya miili yetu, tushikamane usiku kucha tukisifiana ndani ya mahaba. Sweet ni wachache wanaovutiwa na penzi letu na ni wengi wanaochukizwa naomba tuwe macho
*********
Pale mvua inaponyesha huwezi kuona jua, lakini liko pale. Naimani tunaweza kuwa kama mvua na jua.
Siku zote hatuwezi kuonana, lakini tutakuwa pamoja kwa ajili ya penzi letu.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment