Breaking

Tuesday, March 17, 2020

Kututamanisha..Diamond Aziweka Picha zake na Kipusa wa Jeje MtandaoniWiki kadhaa baada ya Diamond kutengana na  Tanasha Donna, ameamua kuendeleza muda wa watu  kuzungumza kumhusu kwa kuweka mtandaoni picha zake za video  ya wimbo wake JEJE akiwa na kipursa wa  Visiwa vya Reunion Malaika.

Mrembo huyo aliwaacha wengi wakitokwa macho baada ya kushirikishwa katika video hiyo ya Diamond  ya wimbo wake mpya auliotolewa siku chache baada ya Simba kutoa wimbo mwingine na Tanasha .


Wengi wamezungumzia austadi wake wa kunengua na jinsi walivyokaribiana na Diamond katika muda mzima wa kuitengeza video hiyo na pamekuwa na uvumi kwamba huenda Tanasha alishuku Diamond alikuwa ameanza uhusiano mpya na Malaika

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment