Breaking

Saturday, March 28, 2020

LOVE SMS (Ujumbe wa Mahaba)


<> Falling in love with you was the Easy part, spending An hour Without Thinking of you Is Not so Easy. Surviving a Day Without seeing you is Turture, Living The Rest of My Life Without you In it seems Impossible.
I Love you so Much.
~~~~~~~~~~~
<> Naweza kukuazima Mabega yangu upande, Masikio yangu usikilizie, Mikono yangu ushikie, Miguu yangu utembelee, lakini si MOYO wangu kwani tayari unao wewe beib.
¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤
<> Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuona niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli sipo tayari kukukosa katika maisha yangu.
+++++++++++
<> Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako. Lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu. Maana nitakupoteza kila muda nilipo.
===========
<> Kusumbuliwa na mlio wa simu yako humaanisha kuwa muda fulani mahali fulani kuna mtu anakufikiria muda huu na huyo ni mimi mara zote nakujali.
=> Mapenzi ni upepo mimi sivumi na kupotea, Mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, Mapenzi ni raha kamwe cwezi kuipenda. Nakupenda wewe pekee barafu wa moyo wangu.
=> Yapitayo mdomoni yametoka Moyoni, uyaonayo hadharani nimeagizwa na Manani, yakuridhishayo nafsini ni utamu wa yakini.
=> Teke la kuku halimuumizi mwanaye, sawa na dhati ya Mapenzi haiumizi moyo wa ampendaye, tugombane sasa hivi tupatane baadaye, najua hakuna wasiogombana. Kama wapo siku wakigombana wataachana.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment