Muigizaji maarufu wa fialamu na msanii wa muziki muingereza Idrissa Akuna Elba al maarufu Idris Elba ndiye mtu wa hivi punde maarufu kupatikana na virusi vya corona .
Coronavirus:Kisa kingine charipotiwa Kericho na mwanamme kutengwaKatika video aliyoweka mtandaoni ,akiwa pamoja na mkewe Sabrina Dhowre, Elba amesema alipimwa na kupatikana na virusi hivyo. Hata hivyo amewatuliza mashabiki wake akisema hana daalili za ugonjwa huo na alijitenga alipogundua kwamba kuna uwezakano alitangamana na watu
Aliandika;This morning I tested positive for Covid 19. I feel ok, I have no symptoms so far but have beenisolated since I found out about my possible exposure to the virus. Stay home people and be pragmatic. I will keep you updated on how I’m doing
No panic.
1.12M
313K people are talking about this
‘Nataka mimba!’ Mwanadada asema katika twitter akihofia ‘kufa’ kwa ajili ya Coronavirus
Idris Elba aliendelea kueleza umuhimu watu kunawa mikono na kuepuka mikutano ya hadhara huku ulimwengu ukiendelea kupambana na mkurupuko wa virusi hivyo .zaidi ya mataifa 30 ya afrika yameripoti visa vya ugonjwa huo huku kenya ikisajili visa takriban vinne hadi kufikia sasa
Photo Credits: Radio Jambo
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment