Breaking

Monday, March 30, 2020

Maua Sama Atafuta Mchumba Mwenye Mapenzi ya Kweli "Pesa Mpelekee Mama Ako"


Staa wa Bongoflava @mauasama Aibuka mtandaoni kuwa anatafuta mchumba.. Hataki pesa bali Mapenzi...Anakwambia "Pesa Mpelekee Mamaa Ako "

Maua Sama Kipindi cha nyumba kidogo alikaririwa katika Redio fulani kuwa ana mchumba Muitaliano ..ila kwa invyoonekana kwasasa jimbo liko wazi ila kwa mwenye Mapenzi ya kweli tu, pesa sio kigezo

 Kama unavigezo Comment hapa


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment