Breaking

Tuesday, March 17, 2020

Mchungaji Awanyweshwa “Dettol” Waamini Akidai Inatibu Corona


Wakati Duani kote watalaam wakipambana kutafuta dawa ya virusi vya Corona huko nchini Afrika Kusini hali ni tofauti kidogo kwani mchungaji wa kanisa moja nchini humo ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa kuwanywesha waamini wake sabuni ya maji aina ya ‘Dettlo’ akidai inatibu ugonjwa huo

Mchungaji Rufus Phala aliwaamulu waamini wake kujongea mbele ya meza ya bwana na kupata dawa hiyo ambayo anadai aliiombe na ina uwezo wa kuponya ugonjwa huo ambao umeua takribani watu 6000 dunaini kote

“Kwa macho ya kibinadamu Detto nimbaya lakini nimefunguliwa na bwana na hata mimi mwenyewe nimekuywa dawa hii na pia nimepokea ujumbe toka kwa watu mbalimbali wakisema wamepona baada ya kunywa” amenukuliwa mchungaji huyo na mtandao wa NSEMO KROM

Mchunagji huyu si mara ya kwanza kufikisha kwenye vyombo vya sheria nchini huo kwani miaka kadha nyuma aliwahi kuwalisha waamini wake kicha cha nguruwe akiawambia kuwa ni chakula kitakatifu

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment