Breaking

Thursday, March 12, 2020

Mke wa Anko ZUMO Amshauri Mumewe Kuongeza Mke wa Pili....

Mke wa mchekeshaji Anko Zumo aitwaye Habiba Zumo, amesema ni bora mumewe aongeze mke wa pili kuliko kuchepuka na mwanamke mwingine kwa sababu kuna maradhi mengi.


Aidha Mke wake huyo ameridhia endapo mwanaume wake atataka kuongeza mwanamke mwingine ila asitegemee kama yeye atamuacha hata kama akifanya hivyo.

"Ikitokea kama mwenyewe anahitaji na akiniambia siwezi kukataa wala kudai talaka, japokuwa moyo wangu utaniuma ila huyo atakayekuja ajue kabisa atanikuta na ataniacha hapahapa, bora atafute mke mwingine aoe kuliko kuchepuka maana maradhi ni mengi" amesema mke wa Anko Zumo.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment