Breaking

Friday, March 6, 2020

Mke Wako sio ndugu yako. Bali Watoto Utakaozaa Naye ndio Ndugu zako. Je, Kauli Kama Hii ina Ukweli Wowote Ndani yake?


Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu huku mtaani ninapoishi inasemekana na watu wamekuwa wakiongea kwa muda mrefu sana ya kuwa;

Mke wako sio ndugu yako. Bali watoto utakaozaa naye ndio ndugu zako. Je, kauli kama hii ina ukweli wowote ndani yake?

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

Ninaomba watu wazima wenye uzoefu na maisha ya ndoa wanisaidie kufafanua kauli hii tafadhali.

Ninaomba busara na hekima itawale badala ya matusi pamoja na kejeli. 

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment