Breaking

Monday, March 30, 2020

MPE RAHA MPENZI WAKO KWA MESEJI HIZI


Moyo wangu umekupenda wewe peke yako, kamwe sifikirii kwenda kwa mwingine. I luv you honey…
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…
Image result for sms za valentine day
Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…
Siyo rahisi kuishi bila wewe, maana wewe maishani mwangu ni sawa na maji katika maisha ya binadamu. Mwaaaaa
Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana….mwaaaaaaaa,..
 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment