Asubuhi ya leo imeripotiwa taarifa ya kifo cha msanii Baki Boban kilichotokea asubuhi ya leo maeneo ya nyumbani kwake, taarifa zinaeleza kuwa Marehemu alikua anatoka msikitini alfajiri ya Leo na baada ya muda akaanza kujisikia vibaya na hapo ndipo mauti yalipomkuta.
Mwili wa marehemu umesaliwa pale upanga msikiti wa maamul ,na kuzikwa Leo SAA kumi pale kisutu.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment