Breaking

Thursday, March 19, 2020

"Msimpende Diamond Platnumz Mtaishia Kuwa Vitafunio" Zari Awashauri Wanawake

Zari Hassan amewapiga vijembe wanaume ambao hawako tayari kuoa baada ya kufanya mahusiano ya muda mrefu na wanawake .

Katika ujumbe unaoonekana kumlenga mpenziwe wa zamani Diamond,Zari ameonekana kuwasghauri akina dada kuwapueka wanaume kama hao . Vijembe vyake hivi vinajiri wakati huu badaa ya Diamond Kutengana na Tanasha baada ya wawili hoa kupata mtoto .Zari aliziweka amtandaoni picha kali ambazo alipiga hivi maajuzi na kuyaweka maandishi yafuatayo kuambatana na picha hizo .

COULD BE SOMEONE’S SNACK OR WHOLE BUFFET, IT ALL DEPENDS. BUT AT THE SAME TIME YOU CAN NEVER BE A PERFECT WOMAN FOR A MAN THAT’S NOT READY. ITS NEVER ABOUT YOU, BUT THEM!


Maandishi hayo yakeyalionekana kuwakanganya wengi kwania kumekuwa na uvumi kwamba uhusiano wake na mpenziwe ulikuwa mashakani .Diamond kwa upande kama samba hajajisumbua fikra na yote yanayosemwa kumhusu .Ameendelea na maisha yake baada ya kuachana na (Zari, Hamisa na Tanasha) ambao pia wanazidi kujishughulisha na biashara zao .


Kwa hivyo iwapo wewe ni mwanamke na umefika umri wa kuolewa ,hakikisha uhusiano wako na mpenzio ni unaoweza kuishia katika ndoa .Msikilizeni Zari kwani kama mama ya watoto watano,ameyaona mengi


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment