Breaking

Monday, March 30, 2020

Mtangazaji Lil Ommy Atambulishwa RASMI Wasafi FM, Kuja Kuua Ufalme wa XXL ya Clouds


Mtangazaji aliekuwa Times Fm Lil OMMY leo ametambulishwa RASMI ndani ya wasafi fm .

Lil OMMY leo anazindua RASMI kipindi Cha THE SWITCH ndani ya wasafi fm, kipindi kitakachokuwa kinaruka kuanzia saa 8 mchana hadi 10 kamili jtatu Hadi ijumaa

Wadau wanadau kipindi hichi kinakuja kuua Ufalme wa XXL Kipindi cha Clouds Ambacho kimekuwa kikitamba kwa miaka mingi kwa kuongoza kusikilizwa katika vipindi vya mchana.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment