Breaking

Tuesday, March 24, 2020

Mtoto Kaiva Sana..Tazama Picha za Tanasha Donna Baada ya Kuachana na Diamond Platnumz

Mwezi mmoja baada ya Tanasha Donna kuachana na staa kutoka Tanzania Diamond, kichuna huyu sasa amerejea mitandaoni na picha na kuacha wengi wakidondokwa mate akidhihirisha urembo aliobarikiwa nao kutoka kwa Mola.

Tanasha ambaye anafahamika sana kutokana na Wimbo wake ‘GERE’ alioufanya na Diamond amekuwa mitandaoni akisemwa kufuatia mishe mishe zilizokuwa  zinakumba uhusiano wake na msanii huyo.

Hizi hapa ni baadhi ya picha ambazo kichuna huyu ametundika katika mitandao ya kijamii.

Kutokana na mkurupuko wa virusi vya Corona, Tanasha kama wasanii wengine ametuma ujumbe katika mitandao ya kijamii akiwataka wananchi kuzingatia usafi kama njia ya kujiepusha na virusi hivyoHIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment