Breaking

Wednesday, March 18, 2020

Mufti wa Tanzania aagiza madrasa zote kufungwa


Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi amewataka walimu wa madrasa kufunga madrasa zote hadi utakapotangazwa utaratibu mpya na kila muumini kuchukua udhu nyumbani pale anapokwenda msikitini ikiwa ni tahadhari dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment