Breaking

Thursday, March 26, 2020

Muonekano Mpya Wa Sallam Sk Meneja Wa Diamod Platnumz Akiwa Kwenye Karantini

Muonekano Mpya Wa Sallam Sk Meneja Wa Diamod Platnumz Akiwa Kwenye Karantini Baada ya Kugundulika Kuwa na Virusi Vya CORONA hivi Karibuni.

Sallam SK Kupitia Instagram yake alijitangaza kuwa amepata maambukizi hayo ya Corona baada ya kutoka safari ya nchi za nje

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment