Breaking

Monday, March 30, 2020

Mwanamfalme Harry, Mkewe Wamjibu Trump "Pesa Kwetu Sio Tatizo"


Mwanamfalme Harry na Mkewe Meghan wamesema hawana mpango wa kuiomba Marekani iwalipie ulinzi na kumtaka Trump ambaye amesema hatowalipia, aondoe wasiwasi

”Pesa kwetu sio tatizo, mipango yote ya ulinzi tukiwa Marekani imeshafanywa, hatujawahi hata kufikiria kuomba pesa kwa Trump”

Kauli hii ya Prince Harry na Mkewe inakuja kufuatia Trump kusema licha ya urafiki wake na Malkia wa Uingereza, hayupo tayari kulipia gharama za ulinzi kwa wawili hao ambao waliondoka kwenye Jumba la Kifalme na kwenda kuanza maisha mapya Canada na sasa wanataka kuhamia Marekani, Trump amewataka wajilipie ulinzi wenyewe.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment