Breaking

Friday, March 6, 2020

Mwanamke Akionesha Dalili au Tabia Hizi Achana Naye


Mapenzi huleta upofu na kupotoka, hata pale unapogundua mabaya unaassume atabadilika kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha

1. Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati.
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo.”

“Mimi mwanaume hanipigi kofi"

Katika maongezi ukisikia maneno hayo ogopa sana.

2. Mwanamke ambaye haogopi walezi au wazazi.

"Tangulia nitakukuta kama umeshanishtaki.”

“Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye.Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda sana mwanaume huyu"

3. Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake

“Mimi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"

Huyo Muogope

4. Mwanamke anayeshindwa kujali muda hana care yeyote na wewe. Unasimama sehemu masaa matatu kumsubiri yeye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote.

Huyo muogope

5. Ukikutana na washikaji yeye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo

6. Mwanamke mkienda out akatawala bili

“Mnauzaje hapa?”

“Wahudumu mbona mnakaa mbali?”

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

“Hesabu vizuri wasituibie chenji"

7. Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaani Konyagi Bapa. Hatari

8. Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja anailamba lamba tu!

Ogopa.

Thank me later


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment