Serikali inawatafuta watu 85 ambao walichangamana na mwanamke aliyethibitika kuwa na #Coronavirus. Mgonjwa huyo wa #COVID19 alitoroka Hospitali ya Mbagathi, alipokuwa ametengwa kusubiri majibu
Kenya ilithibitisha mgonjwa wa kwanza wa #coronavirus Ijumaa iliyopita. Hadi sasa Kenya imethibitisha watu 7 kuwa na #CoronaVirus
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment