Breaking

Monday, March 30, 2020

Mwanamuziki Stamani Ajipanga Kuoa TENA Baada ya Ndoa yake ya Kwanza Kwenda na Maji


Stamina amesema baada ya ndoa yake ya mwanzo kumomonyokeana kwasasa yupo mbioni kuoa tena sababu ni mwanaume aliyekamilika

Ndoa ya kwanza ya Rapper huyo iliingia kidudu mtu na kuvunjika kutokana na visa vya usaliti vilivyotokea kati yao huku akihusishwa aliyekuwa mchezaji wa Simba.....


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment