Breaking

Monday, March 30, 2020

Najma Dattan Afunguka Anachopenda Zaidi kwa Baraka The Prince

Najma Dattan afunguka anachopenda zaidi kwa Baraka The Prince

"Vingi sana, lakini kikubwa napenda sana mashavu yake na lips. Yaani ana mashavu mazuri sana ya kukiss" star huyo Bongofleva ameiambia GPL -

Aidha, Naj ameongeza kuwa anapokuwa free huingia jikoni kumpikia Baraka kwani bwana'ke huyo humwambii kitu mbele ya wali maharage au chapati maharage.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment