Breaking

Wednesday, March 18, 2020

Nandy kaja na uwekezaji huu, Wema Sepetu naye kaibuka na lake


Mwimbaji Nandy ameendelea kutawanya mapato yake anayoyapata kupitia muziki ambapo time hii ametuletea bucha lake la kisasa linalotembea yani aanauza nyama za vitoewo vyote kuanzia Kuku, Samaki, Ng’ombe, mbuzi n.k.Naye Mwigizaji Staa Wema Sepetu ameanzisha kipindi chake kipya ambacho kinahusu mapishi na kitakuwa kikimualika mtu maarufu mmoja ambaye atakuwa naye jikoni wakipika na kupiga story mbali mbali, this time ameanza na mkongwe Dully Sykes

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment