Breaking

Tuesday, March 17, 2020

Niliacha Ukahaba Baada ya Kufahamu Kuwa Babangu Ndiyo Mteja Usiku huoMwanamke wa miaka 32 amefunguka kuhusiana na kisanga ambapo siku moja walipokuwa wameruhusiwa kuchakuwa wateja wa kulala nao usiku mmoja,alishtukania amemteuwa baba mzazi bila ya kufahamu.

Akiwa katika harakati ya kutafuta mteja usiku huo ,alimuona mwanamume aliyekuwa amevalia vizuri na kumkibilia kabla ya wanawake wengine hawajamuona,kwake wazee katika biashara hizo hulipa vyema ikilinganishwa na vijana.

Alikuwa na kofia na miwani,na walipomuona wenzangu walijaribu kumkwamilia lakini nilikuwa nishamnyakuwa tayari.Nilipenda umri wake kwa sababu wazee hawana tatizo wakati wa kushiriki ngono na wanakupatia vizuri ikilinganishwa na wateja kama vijana.alisema mwanamke huyo.

Aliongeza kuwa Walipokuwa wamefika katika chumba cha kushiriki ngono[lodging],mzee huyo ambaye alikuwa ni babake alikuwa wa kwanza kutoa nguo zake na kuweka kwenye kiti kilichokuwa kimetengwa kando .

mimi nilikuwa nishatoa nguo na kubaki uchi,nilikuwa nimesubiri tu anieleza namna alivyokuwa anataka nimwanikie kisha shughuli ianze.alipokuwa anainua kichwa chake akitaka kunipapasa ,hapo ndipo macho yangu na yake yalipokongana ana kwa ana,niliabika ,nilitamani dunia ipasuke inimeze mzima mzima,nilichofanya nilichukuwa nguo zangu mzima na kutoka mbio na kumwacha katika chumba hicho.alieleza.

Tangu kisa hicho kujiri mwanamke huyo amekiri kuwa hajawai zungumza na babake wa kumsalimu licha ya kuwa wangali wanaishi katika boma moja.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment