Breaking

Thursday, March 12, 2020

Nilishiriki Ngono na Kakake MUME Wangu Usiku wa Kuamkia Harusi yetu


Mama mmoja mwenye watoto wawili amewaacha wamaume wengi wakiwalaani wanawake baada ya kukiri kushiriki mapenzi na shemejiye siku yao ya harusi.

Alifichua kwamba yeye hutembea nje ya ndoa na amegundua kwamba mume wake pia ana uhusiano nje ya ndoa. Alieleza jinsi alishiriki ngono na ndugu wa mumewe usiku kabla ya harusi yao siku iliofuata.

Ni jambo ambalo liliibua mdahalo mkubwa katika mitandao ya kijamii. Je jamii imepagawa na pepo yupi?

Huu hapa usimulizi wake,


“NILIGUNDUA KWAMBA BWANANGU ALIKUWA NA UHUSIANO NJE YA NDOA. WANAUME NI KASHFA! LAKINI HAJUI KWAMBA MIMI NI MWANAGENZI KATIKA UHANYAJI.  HAJUI KWAMBA WATOTO WETU WAWILI SI WAKE. HATA NILILALA NA KAKAKE USIKU WA KUAMKIA HARUSI YETU. HATA YULE ALISIMAMIA HARUSI YETU ALIONJA . HUYU JAMAA HAJUI LOLOTE. SIO MIMI ATAHUJUMU. ANA MPANGO WA KANDO. ANAJUA KWAMBA NIMESOMA JUMBE ZAKE NA NAFAHAMU KILA KITU. KILA KITU ANAFIKIRIA KUFANYA NIMEFANYA MARA MBILI. ATALEA WATOTO WANGU MPAKA SIKU ATAKUFA. WAKIWA WAKUBWA NITAWAPELEKA KWA BABA YAO WA UKWELI.” Alisimulia mama huyo wa watoto watatu.

Haya hapa ni maoni ya watu,

baff_ups Lord help us men from Jezebels like thisπŸ™πŸ½

bezee4u So you’re bitter now that your husband is doing to you what you did to him.

cynthia_valex All the husband’s with 2 kids will not sleep today

glory0z And this woman thinks she will make it heaven? πŸ™„
esejules After God fear women!

everywomannaija If you have a good wife, please treat her well o. There are lots of demons in women clothing these days.

By: NOELIAH

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment