Breaking

Tuesday, March 17, 2020

Nina Kisima Kikubwa cha ASALI, Ndio Maana Nataka Kuolewa na Wanaume Watatu KunitoshelezaMwandishi na mwanamziki kutoka Tanzania Haitham Kim amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kutangaza kuwa anapania kuolewa na wanaume watatu .

Haitham alitangaza kuwa wanaume hao watakuwa na wajibu wa kumlinda vizuri ,kumpiga mikiki mizito wakati wa ngono kuangazia mahitaji yote ambayo mwanamke anahitaji.

Akielezea ni kwa nini ameamua kuchukuwa hatua hiyo ,Haitham aliongeza kuwa hataki kuumizwa na mwanamume mmoja wakati ambapo wengine wako wanaomtamani.

“Inawezekana nikaolewa na wanaume watatu kama watanimudu vizuri, unajua wanawake tunapenda wanaume watuonyeshe upendo, mahaba na kunijali kwahiyo wakitokea wa kufanya yote hayo nipo tayari, pia siwezi kuumia kwa mtu mmoja wakati kuna wengine wananihitaji kwa muda huo” alisema  Haitham .


Mila na tamaduni za kiafrika kwa wingi huwa haziruhusu mwanamke kuolewa na zaidi ya mwanamu mmoja ,swala ambalo amelitupilia mbali akisema anauwezo wa kuhimili wanaume hao.


Mimi sina shida ya kuolewa na wanaume watatu,nina uwezo wa kuwashughulikia ipaswa iwe ni kitandani ama popote pale,nafahamu kuwa nina kisima kikubwa cha asali ambacho wote nina imani kuwa watatoshea,alisema Haitham.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment