Wimbo mpya wa msanii wa Bongo Diamond Platnumz Jeje ulifika na kishindo na Donna kumuacha baada ya video ya wimbo huo kutolewa .
Kuna uvumi kwamba Tanasha alitengana na msanii huyo wa Tanzania baada ya Simba kwenda ulaya na mwanadada aliyeshirikishwa katika wimbo wa jeje kwa jina malaika . Tangia wakati huo Tanasha amekuwa akiandika posti za kumshambulia Diamond katika mitandao ya kijamii . Malaika hata hivyo amekanusha kumpokonya Tansha penzi la Diamond na kuandika ;
“Muhimu ni uhai nashukuru ninao sijakufa…ila kuhusu mapenzi sitaki shobo nimeyakuta…”
Katika posti nyingine aliandika ;
Shakespeare was right, « Love looks not with the eyes but with the mind, and therefore is winged Cupid painted blind.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Tanasha alitoka Tanzania baada ya uvumi kuzuka kwamba wawili hao wametengana na sasa anaangazia muda wake kuimarisha taaluma yake ya muziki .
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment