Breaking

Thursday, March 26, 2020

Rais Kenyatta Apunguza Mshahara Wake ili Kupambana na Corona


Rais Kenyatta ametangaza kupunguza mshahara wake na wa Makamu wa Rais kwa 80%, huku Mawaziri wake na Makatibu wa kudumu wakipunguza kwa 30% . “nawaomba na Watumishi wengine waungane na sisi kupunguza kwa hiyari mishahara yao ili fedha zitumike kupambana na corona”


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment