Breaking

Monday, March 23, 2020

RAIS Museven Awashukia Wanafunzi "Hatuja Funga SHULE na Vyuo ili Mkumbatiane Huku Mitaani"

Kauli ya Rais Museven wa Uganda:

“Kwa wanafunzi narudia hatujafunga shule au vyuo ili mukapuyange huko mitaani, maana nashanga tumefunga ili mtulie nyumbani ila kila siku nawakuta mitaani mnahangaika mara mkumbatiane na kujiachia, kama hamuogopi corona tuwarudishe muendelee na masomo”- RAISI MUSEVENI
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment