Breaking

Sunday, March 22, 2020

Rais wa Zamani wa RealMadrid Amefariki kwa Corona


Rais wa zamani wa Real Madrid ya Hispania, Lorenzo Sanz amefariki kwa virusi vya corona.

Sanz ambaye ana umri wa miaka 76 alikuwa Rais wa RealMadrid  kwa miaka mitano tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2000.

Mwaka 1998, Sanz aliiwezesha RealMadrid kucheza fainali ya kwanza ya michuano ya Ulaya baada ya miaka 32 bila kucheza.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment