Breaking

Thursday, March 19, 2020

Sallam SK Meneja wa Diamond Platnumz Adaiwa Kuugua CORONA..Babu Tale Afunguka


Taarifa zinazosambaa, Ni Kuwa SALLAM SK Mendez anaumwa , Diamond , Dancers na Crew nzima Wamechukuliwa vipimo wote waliokuwa Marekani juzi wanasubiri majibu ya vipimo kama ni Ugonjwa mwingine au Corona

Meneja wa Diamond... BABUTALE Afunguka Kuhusu Sallam SK Kuumwa Corona Huko Ughaibuni...

"Siwezi Kusema kama anaugua, anayeugua ni Binadamu, hatujaambiwa kama anaumwa maradhi yoyote, alikuwa na home ya kawaida tunasubiria majibu yatakuwaje, Alikuwa anaumwa kabla hajaondoka, si unajua ni mtu wa kuparty akajua uchovu"


 MSIKILIZE HAPAHIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment