Breaking

Saturday, March 28, 2020

SMS NZURI ZA KUSISIMUA


Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.
Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz
…………………
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema
     …………………………

………………………
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
*°·.¸¸.° ? °·.¸¸.°*
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO”
……………………..
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?”
………………
Moyo wng mtiifu,2li ume2a kwako,kwang huna upungufu yote nimekupa hekoo,utunze na ulee pia uujali kama mama yako alivyofanya kwako.
…………………
natamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi
……………………
chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangu
navika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea.
……………………
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,
utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.
……………………..
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…
…………….
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu!
………….
Wewe ni mng’arao machoni mwangu;
Tabasamu la midomo yangu;
Furaha ya uso wangu;
Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya.
…………….
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda!
…………….
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
……………………
Leo tukiwa katikati ya mwezi wa kumalizia nusu ya kwanza ya mwaka 2013, nachukua fursa  hii kuwatakia MAFANIKIO BORA ya MAISHA wale wote wanaonipa ushirikiano mzuri katika maisha yangu..
Kila niliposoma sms  zako zenye nasaha nyingi  niligundua mambo makubwa matano.
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUTHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sana kwangu, pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA pia nakuomba unisamehe pale nilipokukosea.
Hivyo nami nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU;
1. RADHI ZAKE
2. HAIBA KWA WATU
3. MAFANIKIO MEMA. “asante sana”
……………….
moyo wangu saafi kama upole wa tausi  wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia.
……………….
Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment