Breaking

Monday, March 9, 2020

Tanasha, Zari na Hamisa Wakaushia Post ya Diamond ya Maex Wake, Arusha Dongo, 'Hata Chumvi inafanana na Sukari'


Diamond Platnumz Jana siku ya Wanawake Duniani aliweka post moja Instagram ambae Ameweka Picha za wanawake muhimu katika maisha yake ikiwemo Ma ex wake wote 

Kwenye ile post ya Diamond comments za Wazazi wenza Hamisa, Zari wala Tanasha hazijaonekana kabisaa angalau kushukuru tu kwanini lakini?? DIAMOND kajitutumua kuonesha anawakubali halafu mmepiga kimya... NI SAWA AU SIO SAWA?? 

Zari na Tanasha hawajacomment chochote kuonesha kuwa wame move on na maisha mengine hasa Tamasha ambae wameachana juzi juzi tu, Tanasha kwa sasa ameonekana pwani za Mombasa akila raha huku akitupia picha za bikini wala hana habari na post ya Mondi na kunauwezekano hajaiona kwa vile umemblock.

No comments:

Post a Comment