Breaking

Friday, March 6, 2020

Tunisia: Mwanaume mmoja ajilipua mbele ya Ubalozi wa Marekani


Mwanaume mmoja akiwa amebeba mabomu amejilipua mbele ya Ubalozi wa Marekani nchini Tunisia, ripoti kutoka Tunisia zinasema Mtu huyo alikuwa anaendesha pikipiki na huenda alipanga kuulipua Ubalozi huo lakini akalipuka kabla hajaufikia, Polisi watano wamejeruhiwa.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment