Breaking

Thursday, March 12, 2020

"Uko Wapi Siku Hizi "Swali Linalotukera Vijana AMBAO Hatujafanikiwa na Tusio na Ajira


Moja kwa moja niende kwenye hoja, siku hizi kumekuwa na tabia ya vijana waliosoma pamoja au kukua pamoja zamani, wakikutana mmoja ataanza kumuuliza mwenzie (Mara nyingi ni Yule aliyefanikiwa) kwamba Uko wapi siku hizi?

Hili swali huwa Mara nyingi linaudhi sana endapo anaeulizwa 'yuko wapi siku hizi ' (ikimaanisha unafanya kazi wapi) , ukute ni Jobless hana kazi a.k.a kula kulala huwa linakera sana asikwambie mtu wakuu!, tena Kama ni 'demu ' ukimwambia kwamba wewe ni 'Jobless ' ukichukua number zake ukimtumia meseji hajibu kabisa!,

Wengi wanaouliza swali hilo hutaka Kufanya ulinganisho tu!

By KATUGA BOY.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment