Breaking

Monday, March 2, 2020

Unaambiwa CCM Panazidi Kunoga...Mbunge wa CUF ajivua uanachama, ajiunga CCM

Mbunge wa Wawi (CUF) Mkoa wa Kusini Pemba, Ahmed Juma Ngwali amejivua uanachama wa chama hicho na kuhamia CCM.

Ngwali ametangaza uamuzi huo leo Jumatatu Machi 2, 2020 mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambaye yupo Zanzibar katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya za kisiwani Pemba.

Mbunge huyo amesema anajiunga CCM kwa sababu chama hicho tawala kinapeleka maendeleo kwa wananchi.

Ngwali anaungana na wabunge wengine wanne wa CUF waliojiunga CCM ambao ni Maulid Mtulia (Kinondoni), Ahmed Katani (Tandahimba), Abdallah Mtolea (Temeke) na Zuberi Kuchauka (Liwale).

Katika maelezo yake amesema CCM imekuwa ikifanya mambo mengi mazuri kuleta maendeleo ya wananchi  bila ya ubaguzi wa vyama.

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Amebainisha kuwa yupo tayari kukosa marupurupu, mshahara na kiinua mgongo, “nimeamua kuachana na kila kitu ili kujiunga na CCM kwani ndio chama kinachofikisha maendeleo ya kweli kwa wananchi wake.”

Amebainisha kuwa yupo tayari kukosa marupurupu, mshahara na kiinua mgongo, “nimeamua kuachana na kila kitu ili kujiunga na CCM kwani ndio chama kinachofikisha maendeleo ya kweli kwa wananchi wake.”Mbunge wa Wawi (CUF) Mkoa wa Kusini Pemba, Ahmed Juma Ngwali amejivua uanachama wa chama hicho na kuhamia CCM.

Ngwali ametangaza uamuzi huo leo Jumatatu Machi 2, 2020 mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambaye yupo Zanzibar katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya za kisiwani Pemba.

Mbunge huyo amesema anajiunga CCM kwa sababu chama hicho tawala kinapeleka maendeleo kwa wananchi.

Ngwali anaungana na wabunge wengine wanne wa CUF waliojiunga CCM ambao ni Maulid Mtulia (Kinondoni), Ahmed Katani (Tandahimba), Abdallah Mtolea (Temeke) na Zuberi Kuchauka (Liwale).

Katika maelezo yake amesema CCM imekuwa ikifanya mambo mengi mazuri kuleta maendeleo ya wananchi  bila ya ubaguzi wa vyama.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

Amebainisha kuwa yupo tayari kukosa marupurupu, mshahara na kiinua mgongo, “nimeamua kuachana na kila kitu ili kujiunga na CCM kwani ndio chama kinachofikisha maendeleo ya kweli kwa wananchi wake.”

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment