Breaking

Wednesday, March 18, 2020

Urafiki wa Wema na Aunty Ezekiel wasambaratika..Wema Sepetu Adaiwa Kuwa Ndio Sababu..Mama Wema Afunguka


Urafiki wa Wema na Aunty Ezekiel wasambaratika, Kwa mujibu wa taarifa mastaa hao hawazungumzi kwasasa huku ndugu mmoja wa Wema akidaiwa ndie amesababisha ugomvi huo.

Kwa upande wa Mama Wema amethibitisha hilo na kuiambia GPL kuwa hawezi kumchagulia Wema marafiki sababu ni mtu mzima na pia Wema na Aunty walishagombana kipindi cha nyuma Kisha wakapatana tena hivyo wanaweza kumaliza tofauti zao na kuwa marafiki tena

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment