Breaking

Thursday, March 19, 2020

VIDEO: Breaking; Taarifa mpya ya Dereva tax aliyembeba mgonjwa wa Corona


Wizara Ya Afya maendeleo ya jamii Jinsia wazee na Watoto  imetoa majibu ya vipimo vya dereva aliyembeba, Bi Isabela mgonjwa wa kwanza kugundulika kuwa na Corona Nchini na Watu wengine 27 waliohisiwa kuwa na Corona Jijini Arusha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment